Pages

Sunday, December 30, 2012

Tips za kupata mtoto intelligent ,strong and giant and all about sex

Unapotaka kupata mtoto either ndani au nje ya ndoa ni vizuri ukuwa umejiadaa hapa nakusudia uweke mazingira tayari kwaa ajili ya tendo la ndoa ambalo mtoto atapatikana,mtoto giant,strong and intelligent anapatikana katika mazingira haya

Kwanza spam zinapaswa kuwa strong 
Ili ziende kukutana na yai kwa urahisi kwani zisipokuwa strong hazitolifikiia yai lakini pia zikiwa strong zinasaidiia kupenetrate kirahisi katika ukuta wa nuclear

Mazingira ya joto ni mazuri sana kwa ajili ya kumtafuta mototo mwenye sifa tajwa coz hii itapelekea partner wote kuweza kusweat (kutoka jashoo)na kuwa na oxygen ya kutosha ambayo ni dallili moja yapo ya mtu kuwa na afya , muda wa mchana ni mzuri kuliko usiku katika kutafuta mtoto mwenye sifa tajwa hapo juu,muda wa usiku partner wengi huwa wamechoka kutokana na mihangaiko ya dunia lakini pia usiku mara nyingi kuna baridi tofauti na mchana,na kama nilivyosema mazingira ya joto ni mazuri kuliko ya baridi aua baridi sana muda wa kutosha ni vizuri patner wakapata muda wa kutosha kwa ajili ya kushiriki tendo kwa maana wapate kujiandaa na kula vyakula ambavyo vinaongeza spam production,wenzetu wajapan wanandoa wanapotafuta mtoto hupewa leave ya siku saba ili waweze kupata mto mwenye sifa tajwa.
Hina,pefume na viatu vya high hills zote hazishauriwa kwa mwanamke . Mwanamke mwenye au anayetafuta ujauzito hashauriwi utumia hina sana coz hina yenyewe ina tina ambayo siyo nzuri katika mfumo wa uzazi kwa mwanamke kibaya zaidi hina pia sasa hivi huongezewa tena tina, perfume sio nzuri coz yai la uzazi la mwanamke hupendelea harufu mbaya na mazingira machafu ndio maana wanawake wachafu ni rahisi kwa wao kupata mimba nyingi tofauti na wale wasafi sana

spam issues
wanaume tunaathiriwa sana na kula vyakula vyenye mafuta mengi(rostii),chipsi n.k hivi sio vizuri katika spam production coz huenda kujazana katika kiuno na moyo hivyo kuathiri spama production hivyo mwanaume hushauriwa kula vyakula vya mizizi,vikavu na vya kuchoma hivi husaidi katika spam production na kuongeza nguvu za kiumen ila kwa mwanamke hushauriwa kula vyakula vyenye acid na vikali coz ni reach kwa vitamin C,pia overexercise hupunguza uwezo wa spam production hivyo mtu hushauriiwa kufanya mazoezi ya wastani,pia unywaji wa pombe kupita kiasi huathiiri spama production ingawaje kunywa pombe kwa kiasi husaidia katika spam production coz pombe ina kimea ambacho huact kama fertilizer katika sperm production.

after sex
wengi wetu tuna tabia kwamba tukishamaliza kusex hapohapo hukimbilia bafuni na kwenda kuoga kitaalamu unashauriiwa ukae atleast dk 15 ndiyo uende ukaoge kwan ukiwah kabla ya dk 15 viungo vyako huwa viko wazi so vinakuwa viko rahisi kuwa exposed na kuingiwa na povu la sabuni

other issues
masturbation co nzuri coz zina haribu mfumo wa uzazi kwa njia moja ama nyingine (ila nimesahu how)ila pia inapelekea kichwa kuuma,mgonggo na kupoteza memory hii ni kwa sababu unaulazmisha mwili wako utoe spam ambazo bado changa,hazija mature na bado mbichi watu wanaofanya masturbation sana mara nyingi wanakabiliwa na tatizo al uso kukkauaka, na ile smoothness ya ngozi huondoka

0 comments:

Post a Comment