Pages

Wednesday, January 16, 2013

Dawa ya Kuondoa Chunusi

Hii ni dawa nzuri kwa wale wote wenye Chunusi, kama utafuata maelekezo vizuri utaweza kupata matokeo mazuri.

Mahitaji
Kijiko cha chai kimoja - Juice ya mbatata

Nusu kijiko cha chai - Unga wa Rozi
robo kijiko cha chai - Manjano
Jinsi ya kutengeneza
Changanya vitu vyote pamoja kisha pakaa kwenye vipele vyeusi (usipake uso mzima kwenye vipele tu). Iache kwa muda wa nusu saa au hata unaweza kulala nayo. Pakaa kila siku kwa muda wa wiki mbili. Baadae utapaka kwa wiki mara mbili mpaka uone umeondoka weusi.

MATIBABU MBADALA
Haya hujumuisha lishe bora na usafi wa mwili.Ni vema kuoga mara kwa mara na kujifuta maji kwa taulo safi na kuiweka ngozi katika hali ya ukavu nakuepuka upakaji wa mafuta mengi ya mgando hasa wakati wa joto. Watu wenye chunusi wanashauriwa kula mlo kamili wenye vyakula vyenye madini ya zinki,nyuzinyuzi,matunda , mboga za majani,vitamin B complex na Chromium. Ni vema kuepuka au kupunguza matumizi ya pombe,vyakula vya maziwa,tumbaku,sukari,vyakula vilivyoandaliwa viwandani na vyakula vyenye Iodine nyingi kama vile chumvi

2 comments:

  1. Dr kanyas mtaaalamu wa tiba asili toka tanga anazo dawa za kutibu nguvu za kiune na za kutibu UTI...PID..KUREFUSHA UUME ..KUNENEPESHA UUME .....MTAFUTE DR KUPITIA 0765050073...

    ReplyDelete
  2. Dawa ya nguvu za kiume.....dawa ya kurefusha uume..kutibu ..UTI....na maradhi mbalimbali..mtafute dr kupitia 0764839091

    ReplyDelete