Pages

Sunday, January 20, 2013

Dawa kiboko ya minyoo na fungus sugu (home made)

Mahitaji
Vitunguu swaumu
Maji ya uvuguvugu

Jinsi ya Kutengeneza na kutumia
Menya vitunguu swaumu na uvitwange au kuvisaga hali vilainike
Changanya mchanganyiko wa vitunguu swaumu na maji ya uvuguvugu kwenye kijiko cha chai ili vilainike
Baada ya mchanganyiko huo kuwa tayari  chota na uvimeze kama dawa za kawaida

Mambo ya kuzingatia
Kuwa makini kwani kuna baadhi ya watu  wanaweza kutapika kwa kutumia mchanganyiko huu ila usiogope kwani baada ya dakika 15 ya kutumia  hali ya kichefuchefu itapotea na kuwa kawaida. Unaweza ukaona matokeo ya dawa hii kuanzia siku moja ya matumizi na kuendelea



0 comments:

Post a Comment