Pages

Sunday, December 30, 2012

Tiba mbalimbali za Vitunguu Swaumu

MATUMIZI KATIKA NCHIMBALIMBALI kitunguu ni kiambatanisho muhimu kidishi kimaendeleo katika sehemu nyingi ulimwenguni. Zamani Egpta iliheshimiwa kuwa ya hadhi ya kimungu. MAANDALIZI YA KITUNGUU SAUMU KIMADAWA Kitunguu saumu na asali. Jaza chupa ya glasi na vitunguu saumu vilivyomenywa na kukatwa katwa polepole mwaga katika asali ya kwamba inajaza nyufa katikati ya fundo ya kitunguu. Weka glasi kwenye sehemu ya joto yenye c 20oc. Katika siku mbili hadi wiki nne, asali itanyonya juisi ya kitunguu saumu na kitunguu hicho kitachechemea...

Tips za kupata mtoto intelligent ,strong and giant and all about sex

Unapotaka kupata mtoto either ndani au nje ya ndoa ni vizuri ukuwa umejiadaa hapa nakusudia uweke mazingira tayari kwaa ajili ya tendo la ndoa ambalo mtoto atapatikana,mtoto giant,strong and intelligent anapatikana katika mazingira haya Kwanza spam zinapaswa kuwa strong  Ili ziende kukutana na yai kwa urahisi kwani zisipokuwa strong hazitolifikiia yai lakini pia zikiwa strong zinasaidiia kupenetrate kirahisi katika ukuta wa nucle...