Pages

Thursday, January 31, 2013

Ijue supu inayopunguza mafuta mwilini


Mahitaji:
Vitunguu vikubwa 6, 

Pilipili hoho 2, 
Nyanya 4 kubwa, 
Cabbage 1 kubwa, 
Leeks kubwa 4, 
Cube 2 za Knorr au Roiko (kwa ladha na si lazima). Hii inaweza kutosha kwa nusu siku mpaka siku nzima kutegemea uwezo wako wa kuila. Boresha ladha kwa kuongeza chumvi, pilipili kawaida au manga, hot sauce au malimao/ndimu.

Tuesday, January 29, 2013

Faida za Kiafya za Kitunguu Swaumu (Garlic)

Kitunguu swaumu ni jamii ya vitunguu ambayo kwa kitaalamu huitwa Allium sativum. Jamii hii ilianza kutumika katika mabara mbalimbali duniani hususani Asia, Afrika na Ulaya takribani miaka 6000 iliyopita. Matumizi makuu nyakati hizo yakiwa viungo katika mboga na tiba. Kitunguu swaumu kimetajwa kwenye vitabu mbalimbali vya dini vikielezea faida zake katika kutibu maradhi mbalimbali yasababishwayo na bakteria, matatizo katika mapafu, matatizo katika mfumo wa umen'genyaji chakula, na matatizo ya kuishiwa nguvu.  

Monday, January 21, 2013

How to Quit Smoking Cigarettes by Using Milk, Oranges, and Grapefruit


Are you trying to quit smoking? Smoking cigarettes is not only a nasty habit, but a serious addiction as well. Many people who try to quit cold turkey always seem to fail and go back to smoking. Now some people use patches, medicines, or gums to quit smoking, but are they really safe for you? Not sure how safe these medicines are, but if you are willing to quit smoking cigarettes cold turkey there are certain foods that can help you out. I know this may sound a little crazy, because usually when some people quit smoking they go right to food and usually crave cigarettes after any type of food, especially sugar. So are there actually certain foods that can help you from craving cigarettes? Yes, there are certain foods that can make the taste of cigarettes very bitter and nasty.

Sunday, January 20, 2013

Njia salama isiyo na gharama kwa kutunza ngozi yako

  1. Epuka uvutaji wa aina yoyote, mfano sigara bangi  madawa ya kulenya, petrol, na mambo mengine kama hayo. Kuvuta kuna madhara mengi kiafya kwenye mwili pamoja na magonjwa ya moyo na cancer ya mapafu.Hata hivyo kitu watu wengi hawajui ni kwamba nicotine ambayo iko kwenye sigara unapovuta inaweza kubadilisha rangi ya ngozi na wakati mwingine kuota chunusi.Ili uweze kuwa na ngozi nzuri ni lazima uache kabisa kuvuta.
  2. Vitamin A na E , wakati unaendelea kuwa mtu mzima ngozi inaanza kupoteza uzuri wake, kwa sababu cell, collagen na elastin zinaanza kupungua nguvu matokeo yake ni wrinkles na matatizo mengine ya ngozi. Matumizi ya vitamin A na E supplement zenye ( collagen na elastin) vyaweza kuzuia ngozi kuharibika. Vitamin A na E pamoja na madini ya asili vimethibitisha kuongeza uwezo wa cell za ngozi, hivyo inaongeza ubora na muonekano wa ngozi.
  3. Epuka kutumia mafuta ya mgando kwenye ngozi, mafuta yanaziba pols na kusababisha chunusi, chunusi zaweza kusababisha makovu usoni , na hivyo kupoteza kabisa muonekano mzuri wa ngozi yako. Wakati unapotumia product za ngozi tumia mabazo hazina mafuta pia ambazo  hazina harufu ( fragarance).
  4. Punguza matumizi ya sukari, haswa soda na chai, matumizi ya vyakula vya kukaanga, kama chips na vinginevyo. Nyama nyekundu na maziwa ( diary product) unashauriwa kuacha kabisa kwa sababu mara nyingi husababisha allergy. Kunywa maji mengi, kula matunda na mboga za kutosha, lala mapema ikiwezekana kabla ya saa tatu na nusu. Usioshe uso na sabuni jitahidi kutumia cleaser.
Angalizo
Jitahidi kupata ushauri wa Doctor mara zote unapotaka kutumia vipodozi vipya au kupadili vipodozi.

Women who have their ovaries removed are more likely to suffer mental decline in old age


  • The procedure, which triggers the menopause, is often carried out on younger women to prevent cancer
  • Women who had it done had a faster declines in thinking ability and certain kinds of memory
  • But hormone replacement therapy could help
Removal of a woman's ovaries - often to prevent cancer - leads to an increased risk of mental decline in older age


Removal of a woman's ovaries - often to prevent cancer - leads to an increased risk of mental decline in older age