Unapotaka
kupata mtoto either ndani au nje ya ndoa ni vizuri ukuwa umejiadaa hapa
nakusudia uweke mazingira tayari kwaa ajili ya tendo la ndoa ambalo mtoto
atapatikana,mtoto giant,strong and intelligent anapatikana katika mazingira
haya
Kwanza
spam zinapaswa kuwa strong
Ili
ziende kukutana na yai kwa urahisi kwani zisipokuwa strong hazitolifikiia yai
lakini pia zikiwa strong zinasaidiia kupenetrate kirahisi katika ukuta wa
nuclear





