Pages

Thursday, January 31, 2013

Ijue supu inayopunguza mafuta mwilini

Mahitaji: Vitunguu vikubwa 6,  Pilipili hoho 2,  Nyanya 4 kubwa,  Cabbage 1 kubwa,  Leeks kubwa 4,  Cube 2 za Knorr au Roiko (kwa ladha na si lazima). Hii inaweza kutosha kwa nusu siku mpaka siku nzima kutegemea uwezo wako wa kuila. Boresha ladha kwa kuongeza chumvi, pilipili kawaida au manga, hot sauce au malimao/ndim...

Tuesday, January 29, 2013

Faida za Kiafya za Kitunguu Swaumu (Garlic)

Kitunguu swaumu ni jamii ya vitunguu ambayo kwa kitaalamu huitwa Allium sativum. Jamii hii ilianza kutumika katika mabara mbalimbali duniani hususani Asia, Afrika na Ulaya takribani miaka 6000 iliyopita. Matumizi makuu nyakati hizo yakiwa viungo katika mboga na tiba. Kitunguu swaumu kimetajwa kwenye vitabu mbalimbali vya dini vikielezea faida zake katika kutibu maradhi mbalimbali yasababishwayo na bakteria, matatizo katika mapafu, matatizo...

Monday, January 21, 2013

How to Quit Smoking Cigarettes by Using Milk, Oranges, and Grapefruit

Are you trying to quit smoking? Smoking cigarettes is not only a nasty habit, but a serious addiction as well. Many people who try to quit cold turkey always seem to fail and go back to smoking. Now some people use patches, medicines, or gums to quit smoking, but are they really safe for you? Not sure how safe these medicines are, but if you are willing to quit smoking cigarettes cold turkey there are certain foods that can help you out. I know...

Sunday, January 20, 2013

Njia salama isiyo na gharama kwa kutunza ngozi yako

Epuka uvutaji wa aina yoyote, mfano sigara bangi  madawa ya kulenya, petrol, na mambo mengine kama hayo. Kuvuta kuna madhara mengi kiafya kwenye mwili pamoja na magonjwa ya moyo na cancer ya mapafu.Hata hivyo kitu watu wengi hawajui ni kwamba nicotine ambayo iko kwenye sigara unapovuta inaweza kubadilisha rangi ya ngozi na wakati mwingine kuota chunusi.Ili uweze kuwa na ngozi nzuri ni lazima uache kabisa kuvuta. Vitamin A na E , wakati unaendelea...

Women who have their ovaries removed are more likely to suffer mental decline in old age

The procedure, which triggers the menopause, is often carried out on younger women to prevent cancer Women who had it done had a faster declines in thinking ability and certain kinds of memory But hormone replacement therapy could help Removal of a woman's ovaries - often to prevent cancer - leads to an increased risk of mental decline in older ...

Give HIV drugs straight away to slow virus down - and reduce the risk of passing it on

Patients usually only receive antiretrovirals once their immune system has been weakened by the infection Trial found giving course of treatment after diagnosis had long-term protective effect Virus levels remained low long after early treatment finished - so lowering risk of passing it on A mature HIV infection (blue cells) spreads: Scientists say treating the virus early could reduce the risk of passing it ...

Dawa kiboko ya minyoo na fungus sugu (home made)

Mahitaji Vitunguu swaumu Maji ya uvuguvugu Jinsi ya Kutengeneza na kutumia Menya vitunguu swaumu na uvitwange au kuvisaga hali vilainike Changanya mchanganyiko wa vitunguu swaumu na maji ya uvuguvugu kwenye kijiko cha chai ili vilainike Baada ya mchanganyiko huo kuwa tayari  chota na uvimeze kama dawa za kawaida Mambo ya kuzingatia Kuwa makini kwani kuna baadhi ya watu  wanaweza kutapika kwa kutumia mchanganyiko huu ila usiogope...

Madhara ya Punyeto

Punyeto ni nini? Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi. Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa magonjwa yanayosambazwa kupitia ngono, kwani haimshirikishi mtu mwengine. Punyeto ni toshelezo kamili la kimapenzi kama utatumia njia mbali mbali za kujitomosa na kujipa papasa ya kujistarehesha. Hakuna mtu anayezaliwa akijua jinsi mwili wake unavyoitikia msisimko wa kimapenzi. Inakubidi kujifunza kwa majaribio salama. Na, kwa vile kila mtu yuko tofauti,...

Saturday, January 19, 2013

Mawe kwenye Figo

  UGONJWA wa mawe kwenye figo siyo mgeni miongoni mwa watu hivi sasa, hasa wenye umri mkubwa. Hata hivyo, katika siku za hivi karibuni, ukubwa wa tatizo hili umeongezeka, kwani hata vijana wanapatwa na tatizo hili ambalo kitalaamu linajulikana kama ‘Gallstones’.  Mawe ya kwenye figo siyo mawe halisi, bali huwa ni vitu vinavyojitengeneza kwenye figo taratibu na baada ya muda mrefu hugeuka umbo na kuwa mfano wa vijiwe vidogo...

Wednesday, January 16, 2013

Jinsi ya kutoa Madoadoa yaliyosababaishwa na CHUNUSI

Asilimia kubwa ya watu wamekuwa na tatizo la kuwa na makovu yanayosababishwa na chunusi kwa kipindi kirefu bila kupata ufumbuzi,  na hii husababishwa  sana na mabadiliko ya miili kipindi cha ujana , au kwa watu wenye nyuso zenye mafuta na baadhi ya watu wamepata matatizo haya  baada ya kutumia baadhi ya vipodozi visivyoendana na ngozi zao. Tatizo hili limekuwa kubwa kwa baadhi ya watu na kuna wakati mtu ana kosa hata raha na kuwa...

Sinus Infection

Picture of the anatomy of the sinuses Picture of the detail of the sinu...

Migraines are the second biggest risk factor for women suffering a heart attack or stroke

Severe migraines with visual disturbances, known as aura, are the second biggest risk factor  Only high blood pressure was a bigger factor  Findings come from 15 year study of 27,860 women Women who suffer from severe migraines accompanied by visual disturbances may be at an increased risk of heart attacks and stroke. Scientists have said only high blood pressure was a bigger indicator of a stroke or heart attack than migraines...

Dawa ya Kuondoa Chunusi

Hii ni dawa nzuri kwa wale wote wenye Chunusi, kama utafuata maelekezo vizuri utaweza kupata matokeo mazuri. Mahitaji Kijiko cha chai kimoja - Juice ya mbatata Nusu kijiko cha chai - Unga wa Rozi robo kijiko cha chai - Manja...

Tuesday, January 15, 2013

Faida za ukwaju

Zifuatazo basi ni faida za ukwaju ambazo zitakushawishi siku nyingine kuagiza glasi ya juisi ya ukwaju, na kama ni 'waziri wa mambo ya ndani' ya nyumba, au una fahamiana na 'waziri husika' basi agiza aendapo gulioni asiache kuchukua fungu la ukwaju wa kutosha walao wiki kama si mwezi mzim...

Utafiti wa jeli ya kupambana na HIV

Kirusi cha HIV "Kuna densi kati ya virusi na kinga ya mwili'' anasema Daktari Angela obasi kutoka taasisi ya utafiti wa matibabu nchini Uingereza. "Wakati tunapopata uelewa zaidi kuhusu virusi hivi ndipo tunaelewa densi hi...

Sunday, January 6, 2013

Tiba ya maji ya moto

Maji ya Moto ni tiba ya magonjwa mengi , jaribu kuangalia baadhi ya magonjwa yanayotibiwa kwa kunywa maji ya moto - pumu= asthma - shinikizo la damu= hbp  - migraine / kichwa= migraine/ headache - ugonjwa wa sukari= diabetes  - upungufu wa damu= anemia - maumivu nyuma= back pa...

All About Male Infertility: Signs, Symptoms and Diagnosis

Have you and your male partner tried without success to get pregnant and have a baby?  Most people think the woman is responsible for infertility. In reality, the cause may be linked to male infertility. In fact, about 40 percent of conception problems are attributed to male infertility. Most of the time, there are no outward signs of male infertility. Yet if the cause of male infertility is hormonal, your partner may have some outward...

Psoriasis

A non-contagious rash of thick red plaques covered with white or silvery scales, psoriasis usually affects the scalp, elbows, knees, and lower back. The rash can heal and recur throughout life. The cause of psoriasis is unknown, but the immune system triggers new skin cells to develop too quickly. Treatments include medications applied to the skin, light therapy, and medications taken by mouth, injection or infusio...

Maji ni uhai

HIVI karibuni kumetokea uhaba mkubwa wa maji duniani. Kwa wale tuliozaliwa miaka ya sabini na kurudi nyuma tulishuhudia watoto wakiogelea katika mabwawa yaliyokuwa yamezagaa nchi nzima, mito ilikuwa imejaa mpaka watoto walikuwa wakizama na kufa maji, mabomba yalikuwa yakitoa maji safi na yenye uhakika kila nyumba kwa vile huko yalikokuwa yakitoka kulikuwa kuna chemchem zenye uhakika wa kutoa neema ya maji safi pia kwa wakazi wa vijijin...