Sunday, March 10, 2013

Tiba za Pilipili mboga nyekundu


Pilipili mboga nyekundu inatibu Maradhi mengi mojawapo haya hapa. 

(1)Blood Pressure (Maradhi ya Presha) Tumia Unga wa Pilipli mboga nyekundu pamoja na maji ya Moto glasi moja itakusaidia kutibu Maradhi Presha Pilipili, 
(2) Unga wa Pilipili mboga nyekundu inasaidia kutibu Mtu aliye gongwa na nyoka uchanje pale ulipo gongwa na nyoka kisha upake unga wa pilipli mboga nyekundu sumu itatoka na utapona. 

(3)Unga wa Pilipli mboga nyekundu unga wake inasaidia kutibu Mapigo ya Moyo na Maradhi ya kiharusi pia inasaidia ukila. 

(4)Unga wa Pilipli mboga nyekundu unga wake unasaidia Maradhi ya kichwa ukila. 

(5) Unga wa Pilipili mboga nyekundu inasaidia kutibu jeraha la kujikata ukitumia inatibu kukata damu isiendelee kumwagika. 

(6) Unga wa Pilipli mboga nyekundu inasaidia kutibu Maradhi Mafua yasiyokwisha ukitumia kula huo unga utapona hayo Mafua yasiyo kwisha tumieni jamani huo unga wa Pilipli mboga nyekundu inatibu hayo maradhi makubwa 6 asanteni.

0 comments:

Post a Comment